
SASA haina shaka tena kuwa mkali wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani Rick Ross ndiye atakayekanyaga jukwaa la fiesta 2012 na kukamilisha shangwe za SERENGETI FIESTA 2012.
Akizungumza na teentz.com muda mfupi uliopita mkuu wa vipindi kutoka redio ya watu Clouds Fm Seba Maganga amesema kuwa kila kitu juu ya msanii huyo kutuo Bongo kiko poa kinachosubiriwa ni muda kuwadia tu
BONYEZA HAPO KUMSIKILIZA HALAFU SEMA BHAAAAAAAAAAAAS
Comment
aanh.....
he z nt a star sb lied
the booooss, yees ausike kinoma noma hayo 2 bhaaaass!!!
Added by tanjin tareq on May 18, 2013
© 2013 Designed & Developed by G5 CLICK COMPANY.
You need to be a member of TEEN TZ to add comments!
Join TEEN TZ